NAIBU WAZIRI KANYASU AWATAKA TFS KUTUMIA BODABODA KUKABILIANA NA WASAFIRISHAJI MKAA

Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza na Watendaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Jijini Dodoma wakati akifungua kikao maalumu cha utendaji

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA DKT. MARY LEAKEY

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla wakiangalia baadhi zana za kale walipotembelea Makumbusho ya Dk. Mary Leakey kwenye Bonde…

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KUMBUKIZI YA UGUNDUZI WA FUVU LA ZINJANTHROPUS BOISEI

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizindua rasmi mnara wa Zinjanjanthropus na Homo habilis ulipo eneo la njia panda kuelekea Bonde la Olduvai, Ngorongoro

WAZIRI MKUU AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA ZINJANTHROPOUS

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiangalia masalia ya mifupa ya Zinjanthropous Boisie alipotembelea mahali ambapo Zinj aligunduliwa Bonde la Olduvai,…

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA ZINJANTHROPOUS BOISEI BONDE LA OLDUVAI - NGORONGORO

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla wakiangalia Fuvu la binadamu walipotembelea mahali ambapo Zinjanthropous aligunduliwa -Bonde…

RAIS, DKT. JOHN MAGUFULI AZINDUA HIFADHI YA TAIFA BURIGI CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa Burigi, Chato

UZINDUZI WA HIFADHI YA TAIFA BURIGI - CHATO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla mara baada ya kuzindua rasmi Hifadhi ya Taifa Burigi,…

Ministry

© 2020 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top