UTATUZI WA MGOGORO WA HIFADHI YA KITULO NA WANANCHI KUWA SHIRIKISHI.

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amemuhakikishia Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Wizara yake inaendelea kutatua migogoro ya mipaka baina ya Hifadhi na wananchi

WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FEDHA ZA MRADI WA REGROW.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Wizara yake fedha za utekelezaji…

TANZANIA YAPOKEA EURO MILIONI 10 KUTOKA SERIKALI YA UJERUMANI KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Emmanuel Tutuba na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Regine Hess wakitia saini mkataba wa msaada Euro Milioni…

TANZANIA YAPOKEA EURO MILIONI 10 KUTOKA SERIKALI YA UJERUMANI KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

TANZANIA YAPOKEA EURO MILIONI 10 KUTOKA SERIKALI YA UJERUMANI KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Juma Mkomi akitoa maelezo ya matumizi ya Euro Milioni 6 katika kutatua migogoro baina ya binadamu na wanyama kwenye hafla jijini…

NAIBU WAZIRI MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJANGILI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori na mimea,Dar…

NAIBU WAZIRI MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJANGILI

NAIBU WAZIRI MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJANGILI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi Msaidizi wa Kuzuia Ujangili, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw.Robert Mande.

NAIBU WAZIRI MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJANGILI

NAIBU WAZIRI MASANJA AFUNGA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJANGILI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akihitimisha mafunzo ya siku 5 ya kukabiliana na ujangili yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top